Je umekua ukisikia tuu swala la kuwa na website lakini
hujaelewa kwanini haswa uwe na website kwa ajili ya biashara au asasi yako
isiyo ya kiserikali (NGO)? Au unayo website lakini haujaona bado faida za kuwa
na website ? Basi makala hii itakupasha
faida haswa ya kuwa na website kwa namna ambayo pengine hujawahi
kufikiria.
Hakuna wakati ambao website ni ya muhimu kama wakati ambapo tupo katika zama za utandawazi. Yawezekana ukajiona kuwa unachofanya ni kidogo hivyo hauhitaji website , hata hivyo kuna mengi utakua unakosa kwa kutokujikita katika kuwa na website kwa biashara au asasi yako.

Kukipa thamani
ufanyacho
Imekua kawaida watu wengi kuamini kuwa biashara au asasi
yenye website basi itakua makini . Hata hivyo sio tuu website ili mradi
website. Unatakiwa uwe na website ambayo kweli inaonyesha umakini na ubora wa
asasi au biashara yako hii inajumuisha website yenye muonekano mzuri, yenye
maelezo yaliyokamilika, yenye taarifa ambazo kweli.
Kuleta ushawishi
Unahitaji website ili kuweza kujenga uaminifu na kuonekana
kweli upo serious. Website yako itakupa nafasi ya kuwaeleza watu kwa umakini na
kwa ushawishi kile unachofanya na
kwanini wakutafute wewe. Tena website itakusaidia kufanya ushawishi huu kwa
watu wengi sana kuliko kuwa tuu na vipeperushi ambavyo utasambaza kwa watu
wachache.
Kuelezea Ufanyacho
Website hukufanya uwe na nafasi ya kueleza mambo uyafanyacho
kwa watu wengi zaidi. Ni kweli unaweza kuwa na akaunti nyingi za mitandao ya
kijamii . Lakini watu wengi hawatopata kukufahamu vizuri kama sio kupitia kwa
website yako ambapo utakua na kurasa zilizopangiliwa vema kabisa.
Kupatikana wakati masaa
24 siku 7 za wiki
Ofisi yako hufungwa , duka lako hufungwa, lakini website yaweza kupatikana masaa 24 siku 7 za wiki. Hivyo kuwa na website ni fursa kwako kuwafaikia walengwa wako masaa yote kila siku.
Ofisi yako hufungwa , duka lako hufungwa, lakini website yaweza kupatikana masaa 24 siku 7 za wiki. Hivyo kuwa na website ni fursa kwako kuwafaikia walengwa wako masaa yote kila siku.
Kuwasiliana na
kuwaelimisha wateja
Kwa kutumia blog itakayoambatana na website yako utaweza
kuwapatia wateja wako na wale wateja watarajiwa Makala ambazo zitawaelimisha na
kuwavuta karibu na wewe. Pia ni nafasi yako ya kuwapa updates kuhusu bidhaa
mpya unazotaka kutoa au mabadiliko mengine ya kiutendaji , kimarketing na sera
za biashara au asasi yako.
Kuwa na email address
binafsi
Website itakufanya uweze kuwa na email address inayotaja jina la biashara yako. Haipendezi na haionekani kuwa “professional” pale unapohitajika kutaja email address yako halafu ukatumia email yenye domain ya makampuni makubwa kama gmail, yahoo au Hotmail. Kama kampuni yako ni ABC Limited, basi ni vema ukasema jinalako@abc.com au jinalako@abc.co.tz
Kwa wewe unayetaka kuwa na website inayokunufaisha tuwasiliane kwa WhatsApp +57 301 297 1724 tukusaidie. Au comment kwa hii post.

nataka niwe na website itakayo husika na kutoa taarifa kwa jamii nifanyeje
ReplyDeleteHabari:naomba unasaidie jins ya kutengeneze website ambayo utausika na ujasiriamali,kilimo,na ufugaji ambayo itakuwa inamilikiwa na kikundi cha vijana cha singida youth network(syn).
ReplyDeleteNaitaji website ambayo itahusika na upandaji Wa miti na utunzaji wa mazingira kwa ujumla mfano
ReplyDeletePlantabillionoftree.com
Jonasjovin3@gmail.com
+255762276275
+255626063600
Hi
ReplyDeleteIt is my hope that you are getting on well!
I have set my new year plan of having a website by 2020.
I am planing to have my own online platform which I have thought to call it as "Tanzania Legal Services Unit" (TALESU), the platform by which people will have to create an account in order to access legal materials, it will be a free use website where people will need not to pay for it in order to subscribe. The only requirement will be for them create an account and sign in whenever they they want to access some reading from the website!
The website should display various legal subjects and topics that readers will need to pass through!
However, I am prepared to make full payment by the end of March 2020 or not later than that.
What I want from you is write prepare the bill I am likely to incur!
Be fair, and priceful! I will abide by your terms and condition of payment!
Yours
Masanja
wasiliana nami 0746975599
DeleteHabar mm ni mjasiriamali nauza nguo za dukani nina page Facebook sina website na hii inaniwiavigumu kufikia wateja wengi naitaji msaada jinsi ya kufungua website
ReplyDeleteNahitaji mtu wa kunifundisha kutengeneza website na blog tuwasiliane 0768763701 nipo Daresalamu
ReplyDeleteAsante sana kwa somo zuri. Nahitaji kuwa na website nitawezaje???
ReplyDeletehttps://chat.whatsapp.com/JyKf52AhAleCSpSXgpmwum
DeleteJiunge kwenye Group hili la mafunzo ya kutengeneza website
Naomba mafunzo kutoka kwenu nijue namna ya kufungua web site step by step
ReplyDeleteKwa wanaohitaji mafunzo au msaada wowote juu ya masuala ya website tuwasiliane kupitia no. 0693783527
ReplyDeleteJe ni njia gani nifanye ili nipate website ya biashara
ReplyDelete