FANYA HIVI KAMA UNATAKA UFADHILI WA MASOMO AU MTAJI WA BIASHARA

ufadhili wa masomo
Kama wewe ni mmoja wa wanaotafuta ufadhili wa masomo au msaada wa kifedha ili ujiendeleze kielimu au kibiashara , basi makala hii inakuhusu sana.

Katika makala ya MAMBO 4 YA MSINGI ILI KUPATA SCHOLARSHIP YA ELIMU

nilitaja mambo ya kuzingatia ili kupata schorlaship. Hata hivyo kuna jambo moja nimeliona likijirudia mara kwa mara na ambalo sikulitaja katika makala ile. Nakushauri ukaisome ile makala yote vizuri pia. BOFYA HAPA KUSOMA HAYO MAMBO 4

Kupata ufadhili wa masomo kunaanzia katika kujiweka katika mazingira ya kuanzisha na kuendeleza mawasiliano na watu maalum ambao wanaweza kukupatia huo ufadhili wa masomo au mtaji wa biashara.
Kuna namna nyingi ya kuwapata watu wanamna hiyo. Katika makala nyingine tutajadili jinsi ya kujijengea mazingira ya kukutana na watu wanaoweza kuwa wafadhili wako. Leo tujifunze jambo la msingi zaidi ili hata ukikutana nao uweze kuwakamata kuwa wafadhili wako.
Katika makala hii nataka nikusisitize swala hili la msingi la Kuweza Kufanya Mawasiliano Fasaha. Jambo hili ni dogo ila ukilipatia vizuri litakujengea fursa kubwa hata kama una mapungufu katika baadhi ya maeneo.
Ninaposema kufanya mawasiliano  fasaha namaanisha yafuatayo:

Tafuta kujisikia kuvutiwa na mtu unayewasiliana nae:
Watu hufanya mawasiliano na watu ambao wanaonekana kutaka kufanya mawasiliano. Penda kumuachia nafasi mtu unayewasiliana nae ili akupashe yaliyo yake. Onyesha kutaka kufahamu zaidi kwa kuuliza maswali na kukumbuka anayokuambia. Onyesha kuwa unajali na kuwa upo tayari kusikiliza zaidi na zaidi.

Kuwa mwenye kujua vitu vingi:
Wewe pia unahitaji kuwa mwenye mazungumzo yanayovutia. Uwe na uwezo wa kuchanganya mazungumzo ya namna nyingi kutegemea na aina ya mtu unayewasiliana nae iwe ni mambo ya kiimani, siasa, burudani, habari za kitaifa, kimataifa, michezo, vichekesho na hata ya fani husika.

Jua anayojua au kupendelea mtu unayewasiliana nae:
Mara nyingi katika mawasiliano tunajikuta tuna shauku ya kujielezea sisi wenyewe, mambo yetu na jinsi tulivyo bora kiasi cha kupoteza nafasi ya kusikia na kujifunza nini mtu mwingine anajua , anafuatilia na kupendelea. Mfano ukijua vitu anavyopendelea na yapi anafahamu au anajifunza mtu unayewasiliana nae, ni rahisi nawe kujifunza hayo mambo au kufuatilia ili uwe na yapi katika kuendeleza mawasiliano yaliyo na mvuto kwa mtu husika.

Kwa namna gani hii itakusaidia ?
Uwezo wako wa kuwasiliana kwa ufasaha na kuendeleza mawasiliano kutamfanya mhusika unayetaka akupe ufadhili wa masomo au mtaji akufahamu vizuri na avutiwe nawe. Na ni rahisi mtu kutoa ufadhili kwa mtu anayempenda na kumjali. Hivyo kwa kutengeneza mawasiliano bora unajifanya “promo” kuwa wewe unafaa kusaidiwa. Na ni promo ya ukweli kwani mfadhili anapata kukufahamu vya kutosha na yeye mwenyewe kujikomit kukusaidia.

Hitimisho: 
Katika mazungumzo yako usiweke mbele kutangaza shida zako au kuomba msaada wa ufadhili wa elimu au mtaji wa biashara. Fanya mazungumzo kwanza, jenga mahusiano. Muache muhusika mwenyewe ajisikie hitaji la kukusaidia. Na kama mhusika ana uwezo kweli, na mmejenga uhusiano mzuri, wala usihofu, kwani marafiki husaidiana. Atakusaidia tuu.

Usikose makala ijayo ya jinsi ya kutambua watu ambao wanaweza kuwa wafadhili wako na namna ya kuwaingia ili muanze mahusiano.
Share:

139 comments:

  1. mimi naitwa herieth niko form one ninaitaji mfadhili wakunisomesha pia ninahaidi kwa mtu anae nifadhili nitasoma kwa bidii na mtihani wa darasa la saba nimepata grade B

    ReplyDelete
  2. Mimi naitwa samwel michael Natafuta mfadhili nimemaliza kidato cha NNE sahivi nimefaulub kwenda chuo na cina namna ya kwenda kusoma chuo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi ni Simeon ninatafuta mfadhili ili nikaweze kuendelea na masomo nilimaliza kidato cha nne tafadhalini sina sinani familia yangu maskini hohe hahe naomba tu nipate nimejaribu kwa serikali il
      a ufisadi tele ndo umejaa

      Delete
  3. mimi naitwa Joseph A. kessy muhitimu wa astashahada (diploma) ya kilimo na mifugo mwaka 2019, ufaulu wa GPA 4.8 ningependa kuendelea na elimu ya shahada katika chuo kikuu sokoine universty of Agriculture kwa mwaka huu. na omba mfadhili wa kuniendeleza katika masomo yangu. Katika diploma nimelipiwa ada na mjomba wangu kwa sasa majukumu yame mzidi ana uwezo wakunilipia.
    mawasiliano:
    E-mail: jrhyezecky@gmail.com
    phone number: 0765896418

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naitwa Aika naomba ufadhili wa kunisomesha no 0674165263

      Delete
  4. Mimi naitwa phineas William kagoloba nimemaliza kidato cha nne nikachaguliwa kwenda vyuo vya afya lakini sina mfadhili wakunisomesha naomba msaada wenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naitwa phineas William kagoloba nimemaliza kidato cha nne na nikachaguliwa kusoma kozi za afya lakini sina msaada wa kunisomesha naomba ufadhil kwa shirika lolote nipo tiare mawasiliano zaidi 0767045412 au 0621534356

      Delete
  5. Naitwa monica nimehitumu certificaty afya nataka kuendelea tena lakini nimekisa mfadhili

    ReplyDelete
  6. Nahtaji mfadhili was kunisomesha master naaahid sitomuaangusha

    ReplyDelete
  7. Shalom, Natafuta wafadhili wa kunisaidia kujenga Madarasa kwa ajili ya kutoa huduma ya Elimu kwa vijana waliokosa Elimu ya Sekondari Kwa mawasiliano ni 0752 775 646, Email; precious02nov@gmail.com
    Naombeni sana Ufadhili wenu.

    ReplyDelete
  8. Naitwa mandela michael nimemaliza kidato cha nne baada ya hapo nikajifunza ufund bomba ila sina chet nataka niende veta nikajiendeleze zaid nipate chet naomba ufadhili wako 0766321953

    ReplyDelete
  9. Mimi naitwa Godfrey Lema. Nimemaliza kidato cha sita naomba ufadhili wako niende chuo kikuu. 0752505715

    ReplyDelete
  10. Naitwa Michael Joseph naombeni msaada wa kunijengea madarasa kwani huku kwetu kuna uhaba wa shule nalenga nitoe elimu ya kujitegemea yaan veta training kwa wale kidato cha nne ambao hawakuendelea na masomo na wale drs la saba. 0766499018 au michaelmzwisa@gmail.com

    ReplyDelete
  11. Naitwa owden nasoma darasa la tatu naomba ufadhili wa masomo yangu naahidi kujitahidi kusoma mawasiliano 0714464124 au 0627075311

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by the author.

      Delete
  12. Naitwa jeremiah nimemaliza kidato Cha nne mwaka 2018 nilifiwa na baba na ndo hapo nikashindwa kuendelea na masomo yangu maana mama Hana Hana kazi yupo tuu naomba ufadhili wa kunisomesha chuo maana nahitaji Sana kusoma maana ndugu hawana msaada wowote na naahidi kusoma kweli naomba tuwasiliane kwa namba 0745656399

    ReplyDelete
  13. Mimi naitwa Nailat Ramadhani Ndumbo natafuta mfadhil wa kunisomesha Niko darasa LA pili Firbet bay school Dar es salam no 0712878725 Nina uwezo was kusoma vzr pia Nina kipaji cha uongoz wazaz wangu wameshindwa kuniendeleza kutokana na matatizo

    ReplyDelete
  14. Mimi naitwa Kudra m Rajabu naishi kigoma natafuta mdhamini Wa kunidhamini niingie chuo

    ReplyDelete
  15. Naitwa jackline natafuta mfadhili wa kunisomesha chuo

    ReplyDelete
  16. Natamani kupata ufadhili wa masomo master's in orthopedic surgery KCMC.. inalipa Sana 0718750025

    ReplyDelete
  17. Even me I am in need of scholarship I have completed advanced level and I need to parsue clinical medicine course

    ReplyDelete
  18. Naitwa Lucy Massunya... nina degree ya uchumi nimehitimu 2019...nahitaji kuendelea na master lakini sina msaada....nahitaji mfadhili ili niweze kuanza masomo mwaka huu na nikihitimu nitarudisha pesa zote...0655075007

    ReplyDelete
  19. Naitwa Juma Hatibu, nimehitimu kidato cha sita mwaka 2016 ninahitaji msaada wa mfadhili niendelee na masomo ya degree
    0625630865 tafadhali naomba nisaidiwe. Asante

    ReplyDelete
  20. Naitaji mtu wa kunisaidia vifaa vya kielimu Niko chuo ,kwa majina naitwa Yona lucas

    ReplyDelete
  21. naitwa amina naitaji mtu wa kuniendelea na chuo nimemaliza form four mwaka 2018 niko tu nyumbani nahitaji kurudi shule
    mawasiliano 0657420527
    minaahomary21@gmail.com

    ReplyDelete
  22. Nahitaji mfadhili wa kunisomesha , nimesoma mwaka wa kwanza lakini kuendelea imekuwa changamoto kwangu so please nisaidieni
    Nitafute kwa namba hii +255755248721

    ReplyDelete
  23. Naitwa Goodluck Pascal natafuta mfadhili nimemaliza kidato cha nne nataka kuendelea kidato cha tano naahidi sito mwangusha
    0716831953
    0683844192

    ReplyDelete
  24. Naitwa Adam Godson natafuta mfadhili atakaye nisaidia kunilipia ada ya chuo... Nimemaliza certificate....
    0716580928
    Adamgodson64@gmail.com

    ReplyDelete
  25. Shalom naitwa mchg witness Daniel katika kanisa LA kiluther Tanzania nahitaji kusoma masomo ya qt na Sina mtu wakuniendeleza nahitaji kuendela kusoma naomben msaada wenu nategemea majibu mema mungu awabariki amen

    ReplyDelete
    Replies
    1. NAITWA AZIZI SALUM NIKIJANA MWENYE NIDHAMU NA NIMEHITIMU ELIMU YA KIDATO CHA NNE NIKIWA NA UFAULU WA DIVISION THREE KUTOKANA NA HALI DUNI YA MAISHA NIMESHINDWA KUENDELEA HIVYO BASI MWENYE MOYO WA KUSAIDIA NAOMBA MSAADA WAKE SIMU NAMBA 0715464867

      Delete
  26. naitwa abubakar saidi nafanya sanaa natafuta wafadhili watakao nisaidia kufikisha mbali sanaa yangu ninamiaka 17 nina baadhi ya kazi nilizo fanya zipo youtube ukinitafuta kwa jina Cenry_bakar utaweza ona kipaji changu NAOMBA MSAADA WENU

    ReplyDelete
  27. Kama uwezekano wa kumfanyia mtu kazi anilipie ada ya udaktari, tuingie mkataba

    ReplyDelete
  28. Habari.. naitwa Yustina Prosper mhitimu was kidato Cha sita mwaka 2020 ninaomba mfadhili wa kuniendeleza kimasomo. Nitashukuru sanaaa.

    ReplyDelete
  29. Yustina Prosper naomba ufadhili wa kuendelea na masomo ya chuo. 0715571790. Natanguliza shukrani za dhati

    ReplyDelete
  30. Inaitwa Jumbe Kaihula ninaomba ufadhili wa mtaji wa biashara,Mimi nafanya biashara katika wilaya ya chato.Ni mjasiliamari namba yangu 0628979161

    ReplyDelete
  31. Naitwa issa good nimwanafunzi wa udaktari natafuta mfadhili atakaye nisaidia katika masomo yangu

    ReplyDelete
  32. Namba yangu ya sim 0767641744 issa good

    ReplyDelete
  33. Kwa majina naitwa ABUUBAKAR SAADIK ABDALLAH NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 32 NAHITAJIA KUFADHILIWA KUJIENDELEZA NA ELIMU YA UPAJI THAMANI MADINI YA VITO ADA NA MAHITAJIO MADOGO MADOGO YA KUJIKIMU WAKATI NITAKAPOKUWA MASOMONI KWA
    MAWASILIANO ZAIDI
    +255652944040
    abuu@gmail.com

    ReplyDelete
  34. NITAFURAHI saana nikipata MFADHILI WA KUNIFADHILI ADA NA MAHITAJIO MUHIMU KIPINDI NITAKAPOKUWA MASOMONI
    KAULI MBIU YA RAIS WETU
    TANZANIA YETU
    VIWANDA
    TAMZANIA YA SASA


    +255652944040

    ReplyDelete
  35. Naitwa mariam honero ninastashada ya uhasibu,natafuta mfadhiri wa kunisomesha(kunisaidia kulipa ada) ili niweze kufikia malengo niliyo yaahidi. Kwa mawasiliano +255786133403 au +255716559896

    ReplyDelete
  36. Nimemaliza diploma ya uhasibu nahitaji kuendelea kusoma na sina namna ya kuendelea kwa tatizo la Ada.natafuta mfadhiri anisaidie kulipa ada niweze endelea ili nifikie malengo yangu. Kwa mawasiliano +255687712188 au +255710770717

    ReplyDelete
  37. Naitwa Ramadhan Yahya Nina certificate ya clearing and forwarding ila nmekwama ada ya diploma naomba mfadhili
    0767768952

    ReplyDelete
  38. Naitwa Ramadhan Yahya Nina certificate ya clearing and forwarding ila nmekwama ada ya diploma naomba mfadhili
    0767768952

    ReplyDelete
  39. Naitwa Ramadhan Yahya Nina certificate ya clearing and forwarding ila nmekwama ada ya diploma naomba mfadhili
    0767768952

    ReplyDelete
  40. Naitwa Ramadhan Yahya Nina certificate ya clearing and forwarding ila nmekwama ada ya diploma naomba mfadhili
    0767768952

    ReplyDelete
  41. Samahani naitwa goodluck nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimepata division two na nimepangiwa chuo cha ualimu lakini sina fedha kwa ajili ya ada na mahitaji......naomba msaada wenu 🙏

    ReplyDelete
  42. Mimi naitwa mwanaisha kessy ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka 2018 nikafaulu kujiunga na chuo cha mipango(IRDP)kilichopo Dodoma sema naomba msaada wa kumalizia elimu mana nilikatisha baada ya baba yangu kufariki na kukosa wa kunisomesha naomba msaada nimalize elimu yangu kwani bado natamani kuendelea kusoma

    ReplyDelete
  43. mimi naitwa MODECKAI DEUS ninasoma kidato cha tatu natamani sana sana kusoma nchini canada ili nifanikishe ndoto yangu tafadhali naahidi sitowaangusha kwa atakaye nidhamini

    ReplyDelete
  44. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  45. Nina certificate ya clinical medicine nilimaliza 2019 nilishindwa kwendelea sababu ya kukoswa ada nilipanga kwendelea mwaka huu ila napo naona inashindikana naomba kuingia mkataba na mtu yeyote anisomeshe nimalizie diploma afu nimfanyie kazi. NO.0748602322

    ReplyDelete
  46. Nina certificate ya clinical medicine nilimaliza 2019 nilishindwa kwendelea sababu ya kukoswa ada nilipanga kwendelea mwaka huu ila napo naona inashindikana naomba kuingia mkataba na mtu yeyote anisomeshe nimalizie diploma afu nimfanyie kazi. NO.0748602322

    ReplyDelete
  47. Naitwa Anna ni mhitimu wa kidato cha sita napenda kujiendeleza na masomo yangu ila nmekosa mfadhiri natumai nikipata nitafanya vizuri sana

    ReplyDelete
  48. Naomba ufadhil wa kujiendeleza kimasomo katika Sanaa naomba msaada ukwel mm ni mtunzi mzuri wa tamthiliya ninazo tatu Kama why me, hukumu isiyo yangu, halima ni damu yako nk naomba Kama Kuna mtu unamjua anaweza kunisaidia niunganishe tafadhal au nimfanyie kazi yeye anisomeshe ili nitimize ndoto yangu no 0626184081

    ReplyDelete
  49. Kwa mara nyingine Niko mbele yenu naomba ufadhil wa kimasomo naomba nipate ufadhil walau wa mwaka mmoja katika chuo Cha Sanaa nisaidieni ufaulu wangu ni mzuri wa kidato Cha4 uchumi ndo umenikwamisha nisaidii namm ninufaike na kipaji nilicho jaliwa au niunganishe au nisaidie kusambaza taarifa izi ili watanzania wengi wajue uenda msaada nikaupata nisaidie ata kwenye mashirika yoyote

    ReplyDelete
  50. Kwa majina naitwa mwandu salum bandya nimemaliza kidato cha sita 2020 ,na ninamshukuru mungu nimefaulu pamoja na hivyo nimeweza kupata nafasi ya kujiunga na chuo cha MUM[muslim university of morogoro] kwa level ya degree katika corse ya bachelar of art with education ,hivyo nilikuwa naomba ufadhili wa kulipiwa ada ya chuo ;mawasiliano 0687712170 ; email ; mwandubandya@gmail.com

    ReplyDelete
  51. Naitwa Mohamed Ngasa .Nimuhitimu wa kidato cha sita mwaka 2018.mchepuo wa sayansi PCB.Nina ndoto za kusoma crinical medicine.lakini nimekosa msaada wa kunisomesha kama muhisani.kwahiyo naomba Mtu yeyote Mwenye uwezo wa wa kunisomesha chuo au Taasisi yeyote naomba inisaidie.Toka mwakahuo wakuitimu 2918 hadi sasa 2020.nilikua nikijitahisi kutafuta jinsi yakunisaidia kuendelea na masomo ya chuo lakini naona bado kufkia.hivo basi naomba nisaidiwe.
    Kwa mawasiliano.0719177807
    0692740189.
    Asanteni sana.kwapamoja tusaidiane.

    ReplyDelete
  52. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  53. Samahani najiweza nusu kwenye Karo

    ReplyDelete
  54. Naitwa Jasinta Sadock nmemaliza form four 2018 na ninahitaji mfadhili ili kujiendeleza kimasomo tafadhali naomba unisaidie.0688360923

    ReplyDelete
  55. David kato..natafuta mfadhili wa kuniendeleza masomo mwaka wa pili wazazi wanamzigo na napenda kuendelea ..nasomewa kozi ya maabara ya afya(medical laboratory).na nimefaulu kuendelea na level 5

    Namba yangu ni 0653956776

    ReplyDelete
  56. Naitwa ledaer brown nahitaji mfadhili wakuniendeleze kimasomo niko chuo mwaka wa kwanza famasi namba zangu 0621536760

    ReplyDelete
  57. Mimi naitwa Hamisi mikidadi nimemaliza kidato cha pili na nimechanguliwa chuo Kilimanjaro naombeni msaada wenu niweze kuendelea na masomo asante

    ReplyDelete
  58. Mimi naitwa Hamisi mikidadi nimemaliza kidato cha pili na nimechanguliwa chuo Kilimanjaro naombeni msaada wenu niweze kuendelea na masomo asante

    ReplyDelete
  59. Mimi naitwa Veronica Leonard mwanafunzi wa chuo naingia mwaka wa pili Ila nimeshindwa kuendelea sababu sina uwezo wa kifedha kuniendeleza wazazi hawana pesa baba mgonjwa kabisa Hali ngumu nahitaji msaada wa kuniendeleza niendelee na mwaka huu wa pili

    ReplyDelete
  60. Hivo nahitaji mfadhili wa kuniendeleza kimasomo

    ReplyDelete
  61. Nahitaji mfathili wa hali na mali
    Nimemaliza kidato cha pili 2020 namuhitaji mfathili wa kunisomesha hadi chuo

    ReplyDelete
  62. Nahitaji mfadhili nimemaliza elimu ya sekondari na vyeti vyangu vyote pia napenda kumtanguliza mungu kwan kusema allihadulillah ndio fanikio langu natumaini ombilangu litapokelewa wako katiks kusoma 0678316279 by magala

    ReplyDelete
  63. Nahitaji mfadhili nataka kuanzisha biashara ya kusindika vinywaji vya matunda mbalimbali.

    ReplyDelete
  64. Naitwa Elizabeth modestus naomba msaada wa mtaji nahitaji kufanya biashara ya chakula yaan kufungua cafe sababu Nina mtoto na mim ndo kila kitu kwenye maisha yake naomba msaada ili niweze kuendesha maisha🙏 no 0620601728

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naitwa Saidi rashidi sandari
      Nimemaliza kidato cha nne 2019 ninaufaulu WA divion three sikupata nafasi yoyote Sina Msada mtu wa kunisaidia naitaji Msaada wenu kwa masharti yoyot nipo tayale namba zangu
      0767056673. Nisaidieni

      Delete
  65. Naitwa lumvya josephat simtala nimemaliza ngazi ya cheti kozi ya Community development ufaulu wangu ni mzuri pia, nahitaji sana kuendelea na diploma pamoja na degree katika chuo cha mipango Dodoma nimekwama kutokana na kukosa mzazi na uwezo duni wa familia,nitashukuru sana kwa atakae nisaidia ufadhili nisome namba zangu hizi 0623160456

    ReplyDelete
  66. Naitwa Michael maige, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2018, nikapata ufaulu wa dvsn three points 22.nilichaguliwa kwenda kusoma chuo lakini mimi Natamani kuendelea na masomo ya kidato cha tano, lakini sina uwezo wa kifedha. Naomba kufadhiliwa

    ReplyDelete
  67. Naitwa Paulo paschal mwanafunz wa utabibu naomba Msaada wa kifedha kwani nimesitisha masoma yangu Kwa kukosa Ada ya mwaka wa Pili namba yangu 0745062985

    ReplyDelete
  68. Naitwa Sayuni Shemnga nipo chuo kikuu mwaka wa tatu nimefungua shule ya cheke chea kwa pango la kukodi na watoto nilionao wapo katika mazingira magumu hawana uwezo wakuwalipia ada watoto wao naomba mfadhili atayenisaidia kuwafadhili watoto hao kwa kuwalipia ada na mahitaji mengine na kunifadhili eneo kwa ujenz wa madarasa ili kuwasaidia watoto hao nitashukuru, mawasiliano ni 0742860759

    ReplyDelete
  69. Naitwa Sayuni Shemnga naomba nimefungua cheke chekea sina uwezo wa kuiyendesha watoto nilionao wote watoka katika maisha magumu kwa hiyo wanalipa ada kwa shida sana naomba ufadhili wa watoto hao ada yao kwa mwezi siyo kubwa sana naomba msaada kwa watoto wapate shule yao pia mawasiliano ni 0742860759

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habari naomba ufadhili wa kujenga Kituo Cha watoto wa mazingira magumu

      Delete
  70. Habar
    Naomba ufadhili wa masomo

    ReplyDelete
  71. Habari naitwa Anna mado kutoka manyara naomba ufadhili wa mtaji wa biashara kwani mimi nategemewa na familia yangu na kwa sasa ninafanya biashara ndogondogo yakuuza matunda

    ReplyDelete
  72. Naomba ufadhili wa masomo degree

    ReplyDelete
  73. Naitwa nestory nimariza form four nikapata revision 2 ya 18 .nimefaulu kwenda a level Ila ada na vifa vya kuniwezesha kuendelea na masomo yangu ni changamoto kama kunayoyote wa kunisaidia namuomba aniwezeshe .kuhusu kusoma nikovizuri na najiamini naombeni msaada wenu

    ReplyDelete
  74. Naomba msaada wa kulipiwa ada nimepelekwa mhimbili baada kuhitmu form 4 0710151094

    ReplyDelete
  75. Mm naitwa Hilary Daudi natafuta mfadhili wa kunusomeah secondary

    ReplyDelete
  76. My name is SHIJA jUMANNE I was a student at Tanzania institute of accountancy T.I.A at the level of certificate h.r.m but l stopped my studies because l don't have a school fees am here to borrow for anyone who is ready to help me from any country my dream is to get the best education l need to archive for sure l have a ability of studying about communication is +255621885845 or email ramsojay1@gmail.com

    ReplyDelete
  77. Naomba ufadhil wa filam mm ni mwandish pia mwigizaji story zipo tiyar hivyo mwenye connection au kwenye kuitaji kuwekeza kwenye filam no 0626184081

    ReplyDelete
  78. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka jana nimepata daraja la 3.. lakini nimekosa uwezo wa kujiendeleza kimasomo.. Natafuta mfadhili wa kuniendeleza kimasomo nipo tayari. Mawasiliano yangu ni 0658115859.

    ReplyDelete
  79. Naitwa Alice Hussein,nasoma darasa la kwanza. Naomba ufadhiliwa kusomeshwa, mawasiliano ni no +255693369090

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naitwa Agnes mbilinyi nimepata nafasi ya kusoma pharmacy diploma chuo cha afya lugalawa health college naomba ufadhili ata kwa mkataba 0765528079

      Delete
  80. NAITWA Hadija said nimemaliza four4 mwaka jana naomba ufadhili wa kusomeshwa mawasiliano 0687028621

    ReplyDelete
  81. NAITWA FAKII SAID NIPO DALASALA SITA NAOMBA UFADHILI WA KUSOMESHWA MAWASILIANO 0687028621

    ReplyDelete
  82. Naitwa Hellen elinaz naishi arusha nilikuwa naomba Sana msaada wa kupelekwa chuo maana nimemaliza kidato cha nne na nimefaulu kwenda chuo ila Sasa mwezi wa tisa huu inaisha na niliitajika chuo 9/9/2021 lakini mpk leo sijaenda baba Hana uwezo wa kunipeleka mama pia Hana mtaji mkubwa wakutupeleka chuo. Hivyo tafadhali ninaombeni msaada 🙏🙏

    ReplyDelete
  83. Naitwa Hellen elinaz naishi arusha nilikuwa naomba msaada wa kupelekwa chuo nimemaliza kidato cha nne na nimefaulu kwenda chuo ila mama Hana uwezo wowote wa kunipeleka chuo. 0693368655

    ReplyDelete
  84. My name is wilbard Bartolomeo nimemaliza kidato cha nne 2020 nashukuru Mungu nimefaulu vizuri nna malengo ya kufungua big business if you interested check me WhatsApp 0687316662

    ReplyDelete
  85. Naitwa Aisha Abdallah Mohammed nimemaliza kidato cha sita naomba mnisaidie niweze kusoma chuo nimekosa mkopo wa serikali naombeni msaada. 0683189143

    ReplyDelete
  86. Kwa majina naitwa OMARY J. HAMIS kwa kudra zake Allah nimebahatika kuchaguliwa na Chuo kikuu cha UDOM gazi ya degree kusoma Sheria ila sijabahatika mkopo na Hadi sasa sijafanya registration
    Naomba kufadhiliwa napenda kusoma na nahitaji sikumoja kuwa msaada kwa watu wengine naomba yangu ni 0622003172 / 0713132555
    Mwenyezi mungu awe nanyi

    ReplyDelete
  87. Habari naitwa asha nimemaliza kidato cha sits mwaka 2019 nimefaulu daraja la kwanza lakini nimeshindwa kuendelea na masomo sina ada mama yangu hana uwezo na baba yangu amefariki.

    ReplyDelete
  88. Naomba msaada wa kusomeshwa chuo kozi ya procurement nimechagulia Ila nimekosa ada naomba ufadhili wenu nipo tayali naitaji kusoma kufika mbali na mama yangu hana uwezo..namba ya sm 0789210889 ata nikipata kazi ambayo naweza kuipata kipindi nipo kwenye masomo niweze kulipa ada angalau semester ya kwanza laki 375000

    ReplyDelete
  89. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naitwa frank abel naomba kupata mfadhili wa kuendeleza masomo katika ngazi ya chuo kozi ya pharmaceutical kwa namba 0758036175

      Delete
  90. Naitwa averina sangijo naomba kupata mfadhili wa kuendeleza masomo katika ngazi ya chuo kozi Development Administration and Management NTA level 5 natamani niendelee na NTA level 6 namba 0767478156

    ReplyDelete
  91. Naitwa Nelson Gosbert Nina kipaji na Fani ya uandishi wa vitabu,kwa sasa Nina miswada ya isiyopungua 10,natafuta mfadhili ilikufikia uchapishaji.

    Niko tayari hata kuingia mikataba ya kubiashara na mfadhili aliyetayari.

    Pia Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu Nina shahada ya kwanza naishi Dar es salaamu natafuta mfadhili wa Masters Niko tayari wakati wowote kuanzia sasa.

    0689515696

    ReplyDelete
  92. Jina Mzee Albertus
    Nina madarasa yangu kwa maana nimejenga mimi madarasa 2, vyoo, ofisi, mazingira ni ya utulivu Sana,walimu wapo wazuri Sana tu naomba ufadhili wa vijana walioko sa elimu ya sekondari kwa sababu mbali kama UGONJWA,ukosefu wa fedha shule inauwezo wa kupokea wanafunzi 50 tu, ivyo tunaitaji watu au mtu au shirika lolote kwa ufadhili wa vijana wetu, jinsi me na me, mawasiliano 0769370814 au 0710370814 tupo mwanza WILAYA ya magu kisesa.
    Kumbuka wote hapa Duniani tumesaidiwa na MUNGU atakuzidishia zaidi ya hapo utakapofadhili Ata kama ukifadhili kijana 1 MUNGU ATAKUPA DHAWABU.

    ReplyDelete
  93. Jina Mzee Albertus
    Nina madarasa yangu kwa maana nimejenga mimi madarasa 2, vyo, ofisi, mazingira ni ya utulivu Sana,walimu wapo wazuri Sana, naomba ufadhili kwa vijana walioko sa elimu ya sekondari kwa sababu mbali kama UGONJWA,ukosefu wa fedha. shule inauwezo wa kupokea wanafunzi 50 tu, ivyo tunaitaji watu au mtu au shirika lolote kwa ufadhili wa vijana wetu, jinsia me na ke mawasiliano 0769370814 au 0710370814 tupo mwanza WILAYA ya magu kisesa.
    Kumbuka wote hapa Duniani tumesaidiwa na MUNGU atakuzidishia zaidi ya hapo utakapofadhili Ata kama ukifadhili kijana 1 MUNGU ATAKUPA DHAWABu

    ReplyDelete
  94. Natfta mtu wa kuniendeleza nimehitimu kidato cha nne tuingie mkataba

    ReplyDelete
  95. Namba 0694036875 natafta mtu wa kunisomesha nimehitim kidato cha nne

    ReplyDelete
  96. Habari ndugu zangu!
    Naomba msaada wa masomo tafadhali. Natoka familia duni Sana. Ni ngumu kueleza hapa . Nipo mwaka wa pili shahada ya ualimu. Nisaidie ndugu zangu. Atakayeguswa namba ni 0655608599

    ReplyDelete
  97. Habari naitwa Deodat Kasheija naomba mtu wa kunifadhili niweze kusoma masters. Nimehitimu UDOM kwa GPA ya 4.2 katika kozi ya Bed science. Nina ndoto kubwa ya kua mdau mkubwa wa elimu katika kuboresha mtaala wa elimu katika shule zetu za sekondari na msingi. Nahitaji kufanya research za kutosha. Nakuahidi atakayenisaidia sintomuangusha. Asanteni

    ReplyDelete
  98. Mawasiliano yangu ni 0742081215

    ReplyDelete
  99. Habari naitwa Deodat Kasheija naomba mtu wa kunifadhili niweze kusoma masters. Nimehitimu UDOM kwa GPA ya 4.2 katika kozi ya Bed science. Nina ndoto kubwa ya kua mdau mkubwa wa elimu katika kuboresha mtaala wa elimu katika shule zetu za sekondari na msingi. Nahitaji kufanya research za kutosha. Nakuahidi atakayenisaidia sintomuangusha. 0742081215. Asanteni

    ReplyDelete
  100. Habari ...Mimi naitwa witness Alpha nahitaji kwenda chuo nilimaliza form 6 2018 tatizo ni ada naomba msaada

    ReplyDelete
  101. Naitwa ORATUS PIUS MLUNZA nmehitimu masomo ya chuo ngazi ya degree mwaka 2020, natamani sana kwenda kusoma ngazi ya masters lakini changamoto ni namba ya kupata ada au udhamini. Namwomba MUNGU kama ikiwezekana nipate udhamini. oratuspilato@gmail.com

    ReplyDelete
  102. Nilikuwa naomba kuuliza kwa mtu ambae ameishia darasa la saba na akafeli lakini anasoma Qt na alifahuru vizur kwa mwaka wa kwanza ambae ni form 1 mpaka 2 lakini ameshindwa kuendelea na masomo kutokana na kipato je anaweza kupata msaada wa kusomeshwa

    ReplyDelete
  103. Naomba kufadhiliwa jina ASHERI MWASOMOLA,mimepata nafasi chuo Cha ADEM bagamoyo tatizo ni Ada Nina ufaulu mzuri matokeo ya kidato Cha sits,contact 0763067726.


    ReplyDelete
  104. Habari
    Naitwa baraka Laurent nipo kidato cha Tano naomba mfadhili nimeshindwa kuendelea na masomo yangu kwa sababu nimekosa ada na wazazi wangu hawajiwezi mwezi huu baada ya pasaka ada ilikua inahitajika nimerudishwa nyumbani kwa Sasa! Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu! Ninaomba msaada wenu
    0767202516

    ReplyDelete
  105. Hello I'm Esther nahitaji mfadhili wa kunipatia mtaji anitafute kwa hili hiyo namba 0699121600

    ReplyDelete
  106. "Naomba kupata mfadhili wa kunisomesha masters nimemaliza kusoma level ya degree katika chuo kikuu Cha Dar es salaam.
    0622420049"

    ReplyDelete
  107. Naomba kupata mfadhili wakunisomesha nipo mwaka wa pili nasomea diploma ya utabibu(clinical officer) napatika kwa namba 0747148192. Natanguliza shukrani zangu kwa wote mtakaoguswa kunitafuta

    ReplyDelete
  108. Naomba kupata mfadhili was kunisomesha nipo mwaka wa pili nasoma diploma ya famasia napatikana Kwa na za simu 0746418295 pia WhatsApp 0746418295 . Natanguliza shukurani zangu za dhati Kwa wote watakao guswa kunitafuta....

    ReplyDelete
  109. Naomba kupata mfadhili kusaidia kuchumi nifungue biashara
    0677948470

    ReplyDelete
  110. Mim n mwanafunz wa Nursing ngaz ya diploma Nipo mwaka wa kwanza nilikuwa nahitaj mfadhil wa kuniendeleza kielimu Ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuendelea ngaz ya juu Zaid kielimu

    ReplyDelete
  111. Ni matumain yangu Kuwa Kuna mtu au shirika lolote litakaloguswa kunisaidua na ombi langu ninapatikana kwa namba 0688680668 Mungu awaongezee pale mtakapo toa na kuwazidishia zaid

    ReplyDelete
  112. Namatumain makubwa kuwa mtanisaidia mm nina mdogo wangu amepangiwachuo lakini wazazi wamekataaa kumsomesha na anapenda sana kusoma msaada jamani

    ReplyDelete
  113. Kwa majina naitwa sikudhani kiondo, nahitaji mfadhili wa kuanza biashara yangu ya vijora elimu yangu ni kidato cha nne nina umri wa miaka 24 naishi mkoani Tanga pia Nina ujuzi wa computer namba yangu ni 0652792995 email yangu ni kiondosikudhani@gmail.com

    ReplyDelete
  114. Ndoa yangu ilikuwa karibu kufikia mwisho nilipoona maoni juu ya mtu anayeitwa Dr DAWN ambaye husaidia watu kuwarudisha wenzi wao na niliwasiliana naye kwa bahati nzuri kwangu aliniroga baada ya masaa 24 mpenzi wangu alirudi kwangu tangu wakati huo ndoa yangu imekuwa. amekuwa mtulivu asante kwa yote aliyonifanyia naweza kukuhakikishia kuwasiliana naye,
    yeye ni mjuzi wa maneno yafuatayo:
    * maneno ya mapenzi
    *miujiza ya ndoa
    * uchawi wa pesa
    * bahati nzuri
    * Vivutio vya ngono inaelezea
    * UKIMWI Tiba Uchawi
    * Pango la Casino
    * Mapango Yamelaaniwa Yameondolewa
    * Ulinzi Spell
    * Uchawi wa bahati nasibu
    * Maneno ya Bahati
    * Tahajia ya Uzazi
    * Pete ya Telekinesis
    WhatsApp: +2349046229159

    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete
  115. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  116. Shikamooni naitwa owden nimemaliza darasa la Saba mwaka huu samahani naomba msaada wa mfadhili wa kunisomesha sekondari ninaomba kwa yeyote atakaeguswa na hili mungu amtie nguvu katika kunisaidia mungu awabariki namba ni 0786232271 au 0719952018

    ReplyDelete
  117. mimi nifundi ramani aina zote za nyumba iwe ghorofa au nyumba za kawaida naombeni sapport kutoka kwenu ambae ataguswa kunifadhili ili nijiendeleze kielimu saizi nipo chuo nataman kuendelea nahitaji mfadhili no 0686656615

    ReplyDelete