MAKALA HIZI 7 ZITAKUFANYA UFIKIRIE UPYA KUHUSU AJIRA

Bila shaka ajira ni swala nyeti katika jamii yetu. Kupata nafasi ya ajira, imekuwa 'inshu' kubwa sana, au kwa lugha ya hivi karibuni tuseme ajira ni 'majanga'. Hata hivyo habari njema ni kuwa kuna mbinu nyingi unazoweza kutumia kurahisisha upatikanaji wa ajira. Hapa Mbuke Times, tuandaa makala nyingi tukielezea hivyo, na ufuatao ni mjumuisho wa makala hizo. Pia tulieleza changamoto zinazowakabili waliopo katika ajira, na fursa zilizopo za kuishi maisha ya ajira kwa furaha, na pia kujiandaa kujiajiri. Karibu ujisomee mwenyewe 


1.Unataka kupata ajira nje ya Tanzania ? Makala hii itakusaidia kujua mambo ya msingi  ya kukusaidia katika mchakato wako.


2. Je, unawaza kuacha kazi uliyo nayo ili ujiajiri ? Makala hii itakusaidia kutambua mambo ya msingi ya kuyaandaa ili kujiajiri kwako kuwe kwenye manufaa.  



3.Unataka kuachana na ajira uliyo nayo, ila una wasiwasi kama kweli upo tayari au la, kujiajiri. Makala hii itakusaidia kujipima katika mambo 7 ya msingi , kama ujiajiri au uendelee tuu na ajira uliyo nayo.


4. Je, haujajiriwa, na unasaka ajira kwa nguvu zako zote lakini inakuwa ngumu. Embu pitia vidokezo hivi 7 vitolewavyo katika makala hii ili  ujiletee mabadiliko katika kupata ajira chap chap. Soma 


5. Pengine kufanya kwako maombi ya nafasi ya kazi, ni kwa mgogoro au kuna makosa madogo madogo yanayokukwamisha. Pitia makala hii ili kuboresha uwezo wako kuandika maombi ambayo yana uzito wa hali ya juu kwa waajiri.  


6. Je, unahitaji mbinu zaidi za kupata ajira ? Angalia mbinu hizi 6, zinazoweza kuleta mabadiliko katika harakati zako za kutafuta ajira endapo utazielewa na kuzifuata vema. 


7.Na kama umeajiriwa, lakini unajihisi kuwa 'bored' na ajira, au unataka kujua namna za kunufaika zaidi na ajira uliyo nayo (ukiachilia mbali kupata mshahara), basi makala hii inakufaa. 

Share:

0 comments:

Post a Comment