DILI: TUMA BUREEE MESSAGE KWENDA SIMU ZA MIKONONI KUPITIA INTERNET

KAMA HAUKUJUA BASI JUA
Ukiacha mitandao ya kijamii kama FB, twitter ambayo unawasiliana na watu waliopo ndani ya mitandao hiyo, kuna websites unazoweza kutumia kutuma message kwa namba za simu za mikononi, tena unatuma message BUREEE.
Hivi karibuni nimekuwa nikiwatumia baadhi ya FANS wa MBUKE TIMES message kwa simu zao, kwa kutumia kompyuta yangu kupitia huduma hizo za website.
Wataka na wewe kutumia ? Basi  bofya  LINKS hizi hapa:

1. GLOBEFONE

2.  ICQ.COM

3. 411SMS.COM

4.TEXTEM.COM

5. MYJOY.COM

6. AFREESMS.COM
Share:

1 comment: