Na njia bora ya kutengeneza na kusambaza contents zako ni kutumia blog ya biashara yako.
Blogs hizi za biashara ni tofauti na blogs za habari kama vile za kina Michuzi, blogs za biashara hujikita katika kuelezea mambo matatizo unayojaribu kutatua kupitia bidhaa zako na pia kuonyesha ukaribu wako na jamii kwa kuwapa contents ambazo kweli wanazihitaji.
Biashara nyingi zenye websites huwa na ukurusa wa BLOG hata hivyo biashara nyingi bado hazijaanza kutumia vema blog kama chombo cha marketing na kuongeza mauzo.
-- Wasiliana nasi tukupe mafunzo haya peke yako ili uweze kweli kuwa na blog yenye kulipa. Utapata mafunzo maalum ya hatua kwa hatua ya namna ya kuwa na blog kwa ajili ya biashara yako. Utajifunza kuhusu teknolojia ya blog, namna ya kuandika makala zenye mashiko na zenye kukuletea wateja, na hatua kwa hatua ya jinsi ya kusambaza makala zako na kupata wasomaji wengi.
Wasiliana nami hapa FB au kwa WhatsApp +57 301 297 1724.
Photo credit: socialmarketingfella.com
0 comments:
Post a Comment