1. Kubali tokea mwanzo kuwa English ni tofauti na Kiswahili hivyo wakati unajifunza English sio tuu ujifunze tuu MISAMIATI ila ujifunze pia jinsi sentensi zinavyoundwa ktk English ili zilete maana. Hii ina maanisha ujizoeshe kusoma na kusikiliza mazungumzo ya English.
Mfano :
-I saw children to the swimming pool
-Other people build to live with problems all time
-In my side its ok.
-Which is correct ?
Sentensi hizi zina makosa ya kanuni za uandishi-grammar, ila ukichunguza ni kwa sababu wahusika walisukumwa na kule kutaka kutafsiri moja kwa moja toka Kiswahili kwenda English.
2. Pili ujue AINA ZA MANENO , kwani ukishajua aina za maneno na kanuni za jinsi zinavyotumika, basi utaweza kuunganisha sentensi vizuri zikaleta maana aina za maneno zina zinakutaka uandike na kuzitumia kwa namna ya kipekee.
Ndio maana kusema : Your my teacher wakati unataka kusema Wewe ni mwalimu wangu, ni kukosea kwa sababu neno YOUR ni possessive pronoun , na haitumiki kihivyo. Hapo ulitakiwa uwe na personal pronoun YOU na verb to be ARE.
Au mtu anasema ITS OK, badala ya IT IS OK au IT'S OK.
Wengi wanakosea hivi na wala hawaoni makosa yao kwakua kwao hawaoni utofauti wa personal pronouns na possessive pronouns.

3. Kujua tenes na miundo tofauti ya sentensi katika kila tense, yaani sentensi za kuuliza, kukanusha, kutoa amri , conditional sentenses , passive voice n.k
Bila kujua hivi unaweza jikuta unasema vitu kama hivi:
AM OK. Wakati ni wazi kuwa kama ulisoma vizuri sentensi za maswali ungejua kuwa kumbe kuanza na AM kunaashiria swali mfano AM I YOUR TEACHER ?
Au unaweza sema kama hivi : You were cooked very well. Ukimaanisha Ulipika vizuri. Ila kama ungesoma vema kuhusu PASSIVE VOICE ungekuja kuwa kutumia were hapo kunaifanya sentensi iwe passive voice na hivyo ilete maana ya "ULIPIKWA VIZURI" wakati wewe unachotaka kusema ni ULIPIKA VIZURI.
-- Maelezo zaidi kama haya utayapata ktk group letu la WhatsApp ambalo ni buree kabisa kujiunga. Nitumie message kwa +57 301 297 1724 ukijitambulisha , na kusema unataka kujiunga na group la whatsapp. Tupo members 117 sasa.

0 comments:
Post a Comment