Wakati uliopo
hali ya kutimilika (Present Perfect Tense)
Kanuni
kuhusu vitendo (Verbs): Kumbuka tulikwisha
sema tenses zote za perfect , vitendo huwa katika past participle. BOFYA HAPA KUPATA ORODHA YA VITENDO 100 na past participle zake.
Hata hivyo
kabla ya kuweka vitendo katika past participle hakikisha verbs zimetanguliwa na HAS au HAVE kutegemeana
na ifuatavyo:
He/She/It – HAS
They, We, You – HAVE
I – HAVE.
Mfano: I have eaten – nimekula
She has read –amesoma (mwanamke)
He has cooked –amepika (mwanaume)
They have talked – Wamezungumza
Sasa tuangalie namna ya kuandika sentensi katika miundo ile
minne tuliyosoma sehemu ya utangulizi
Sentensi za maelezo
chanya : Hizi hutoa taarifa bila kukanusha wala kuuliza swali.
Mfano
He has cooked – amepika.
Jinsi ya kuandika
sentensi za maelezo chanya katika present perfect tense :
Katika muundo wa sentensi hizi, hakikhasha mtenda anatajwa
mwanzoni, khasha kufuatia na HAS au HAVE kutegemeana na aina ya mtenda wa kitendo
khavea tulivyoona hapo juu.
Mfano: I have eating – ninakula
She has read –amesoma (mwanamke)
He has sung well- Anaimba vizuri. (mwanaume)
Sentensi za kukanusha
: Hizi hutoa taarifa za kukanusha wala tukio.
Mfano
-He has not singing well. Hajaimba vizuri.
Jinsi ya kuandika
sentensi za kukanusha katika present perfect tense :
Katika muundo wa sentensi hizi, hakikhasha mtenda anatajwa
mwanzoni, kisha kufuatia na HAS au HAVE kutegemeana na aina ya mtenda wa kitendo
khavea tulivyoona hapo juu halafu ifuate NO, kabla yakutaja kitendo.
Mfano: He has not
sung. –Yeye hajaimba
They have not eaten – Wao hawajala
I have not read – Mie sijasoma
Sentensi ya kuuliza chanya: Hizi huuliza swali katika hali
chanya. Mfano
Je anaimba vizuri ? Has he singing well ?
Jinsi ya kuandika sentensi
za kuuliza chanya katika present continuous tense :
Katika muundo wa sentensi hizi, hakikhasha mtenda HATAJWI
mwanzoni, Hivyo basi ANZA na HAS au HAVE kutegemeana na aina ya mtenda wa
kitendo khavea tulivyoona hapo juu halafu ifuate MTENDA kabla yakutaja kitendo.
Mifano Zaidi: Has he
taught ? Je amekwishafundisha ?
Have I gone to school
? Je nimeishakwenda shule ?
Sentensi ya kuuliza
katika kukanusha: Hizi huuliza swali katika hali ya kukanusha.
Mfano
Has he not played ?
Je hajacheza?
Have they not gone ? Je hatujaenda ?
Jinsi ya kuandika
sentensi za kuuliza kwa kukanusha katika present perfect tense :
Katika muundo wa sentensi hizi, hakikisha mtenda HATAJWI
mwanzoni, Hivyo basi ANZA na HAS au HAVE kutegemeana na aina ya mtenda wa kitendo
kama tulivyoona hapo juu halafu ifuate MTENDA, kisha malizia NO, kabla yakutaja kitendo.
Mifano:
Has he not played
? Je hajachezi ?
Have we not gone
now ? Je hatujaondoka sasa ?
0 comments:
Post a Comment