Tishio la ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) ni kubwa sana. Tayari shirika la afya duniani (WHO) limetangaza kuwa COVID-19 ni janga la dunia. Athari za COVID-19 kwa biashara ni kubwa sana ikiwa ni pamoja na biashara nyingi kufungwa, wafanyakazi kupoteza ajira, wengine kupunguziwa mishahara na hata baadhi ya biashara kuanza kutangaza kufirisika. Katika makala hii tunakuelezea ni mambo gani unayoweza kufanya kama unamiliki biashara ili uweze kupita salama katika kipindi hiki kigumu.
Chukua tahadhari za
kiafya zinazoshauriwa:
Uhai una thamani kubwa sana kuliko faida au biashara unayoihangaikia. Hivyo usihatarishe maisha yako kisa kutaka faida. Hapa tunamaanisha nawe mjasiriamali chukua tahadhari zote zinazoelekezwa katika kujilinda dhidi ya Coronavirus ikiwemo kuosha mikono kwa maji yanayotiririka, kutopeana mikono na watu, kukaa mbali na watu wenye dalili za kuwa na COVID-19 na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima.

Jenga brand yako:
Huu ndio wakati ambapo watu wengi watatumia mtandao iwe ni kwa simu au kwa kompyuta, hivyo ni wakati mzuri sana kwako mjasiriamali kuweka machapisho sio tuu yanayotangaza bidhaa au huduma yako bali yanayoweza kujenga brand yako, yaani machapisho yatakayoonyesha wewe ni mtu wa aina gani, biashara yako inaamini katika nini, na uguse hisia za watu kwa namna ya kipekee.

Jiandae kupunguza bei
za bidhaa au huduma zako:
Huu ni wakati ambapo watu wengi hawatokua na kipato cha
kutosha kufanya manunuzi kama walivyozoea. Wengine watakua wamekatwa mishahara,
na wengine vyanzo vyao vya mapato vitakua vimekauka. Hivyo kupunguza bei ni
namna ya kuwafanya wateja wako waweze kweli kufanya manunuzi.
Weka mipango ya
kupunguza gharama za uendeshaji na malipo mengine mapema kabisa:
Kwakua hautopata mapato kama kipindi kabla ya janga la Coronavirus , inakupasa ujipange sasa namna ya kupunguza gharama zako ili kwamba usishindwe kuzifanyia malipo. Njia za kupunguza gharama za uendeshaji zinaweza kuwa: Kufanyia kazi majumbani , kuacha matumizi ambayo sio ya lazima, kupunguza wafanyakazi, kupunguza mishahara, kuomba kuahirisha kufanya malipo fulani kama vile kuomba ulipe madeni baada ya miezi mitatu toka sasa n.k.

Weka mipango ya namna
ya kukopa kwa unafuu
Kwakua kuna uwezekano utakosa mapato ya kutosha kutokana na
hali ya kiuchumi kuwa ngumu , basi utakuja kuhitaji fedha za kuendesha biashara
yako au hata kulipia marejesho ya mikopo yako ya zamani. Ni wakati sasa wa
kuanza kufuatilia wapi unaweza pata fedha ya mkopo. Sio lazima ukope benki,
waweza angalia vyanzo vingine kama vile watu binafsi au asasi nyingine zenye
kutoa misaada kwa wajasiriamali.
Hitimisho:
Tuwasiliane kama unahitaji ushauri au namna ya kuwafikia
wateja ili kuendelea kuboresha biashara yako. Tumia namba +255 623 029 683
tuwasiliane kwa WhatsApp au kwa namba ya kawaida.

Ushuhuda Wangu Wa Dhati 💖
ReplyDeleteBaada ya baba yangu mdogo kuniacha kwa miezi saba ndefu, nilivunjika kabisa. Alinifungia kwenye mitandao yote ya kijamii, akasafiri mbali, na hakukuwa na njia ya kumfikia. Nilikaribia kukata tamaa juu yetu, lakini ndani kabisa nilijua singeweza kupata mtu yeyote ambaye angenipenda na kunitendea jinsi alivyonitenda.
Siku moja, bosi wangu kazini aliona jinsi nilivyokuwa na huzuni na akanitambulisha kwa Dk. Dk. Dawn alisikiliza hadithi yangu na akaahidi kwamba mpenzi wangu atanirudia ndani ya siku tatu. Kusema kweli, sikuamini mwanzoni—lakini kwa mshangao mkubwa zaidi, siku ya tatu simu yangu iliita. Ilikuwa ni yeye! Alikuwa akilia na kuomba msamaha, akisema hataniacha tena.
Tangu siku hiyo, uhusiano wetu umekuwa wenye nguvu na mzuri zaidi kuliko hapo awali. Amekuwa akinipenda na kunijali sana mimi na mtoto wetu, na sasa tunafunga ndoa baada ya miezi miwili tu! ❤️
Shukrani zote kwa Dk. Dawn, ambaye kwa kweli aliwezesha jambo lisilowezekana. Ninampendekeza kwa moyo wote kwa yeyote anayekabiliwa na changamoto katika:
Masuala ya mahusiano au ndoa
Ugonjwa au magonjwa
Ugumba au matatizo ya bahati nasibu
Kesi za mahakama au kurejesha mali
Dk. Dawn kweli hutatua matatizo kwa ufanisi na hurejesha furaha katika maisha ya watu.
Wasiliana na Dr. Dawn kwenye WhatsApp: +2349046229159
Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com