Umesumbuka kutafuta ajira, unatamani kufanya kazi nje ya Tanzania, unatamani kujua ujiandaaje na soko la ajira, unajiuliza kwanini maombi yako ya kazi hayajibiwi, unaona nafasi za kazi nyingi lakini hujui uanze vipi kuwashawishi waajiri wakupatie nafasi. Basi usisumbuke tena kama wewe ni mmoja wao.
Njoo nikuonyeshe iliwezekanaje mie kupata ajira ya kufundisha chuo nchini Afrika ndani ya mwezi mmoja tuu baada ya kufika huko Afrika Kusini mwaka 2011. Nitakupa siri ya barua yangu ya maombi ya kazi kujibiwa na kampuni toka Cape Town-SA, toka Bogota- Colombia. Na namna nilivyopata kazi ya kuwa management consultan wa asasi kubwa ya kimarekani wakati ndio kwanza nilikua mbichi toka chuo kikuu.
Tumekuandalia mafunzo ya masaa mawili SIKU YA IJUMAA JAN. 20,2017, kuanzia saa tatu usiku LIVE online. UTACHANGIA TSHS. 3000 kwa mafunzo haya ili tukuadd ktk group la mafunzo. Tuma hela kwa namba 0757 120 020. Mie John ambaye ameshawahi kufanya kazi na asasi za Marekani, Afrika Kusini na Colombia na kuandika Makala nyingi kupitia blog yetu ya Mbuke Times na gazeti la Mwananchi, nitakuwepo online kupitia WhatsApp kukupa maujanja na mikakati ya kufanikisha maombi ya kazi yatakayojibiwa.
Nitajibu maswali yote na washiriki wote watapata ushauri na kuboreshewa CV zao, na muongozo binafsi wa kuomba nafasi ya kazi mojawapo watakayoichagua.
Hata kama upo katika ajira sasa na unataka kubadilisha ajira yako, njoo tuzungumze.
Baadhi ya mambo tutakayojadili ni:
*Jinsi ya kuweka malengo sahihi ya ajira
*Jinsi ya kufanya utafiti wa waajiri wanaoweza kweli kukuajiri
*Mbinu za Kuandika CV inayokubalika
*Mbinu za kuandika Job Application letter
*Jinsi ya kupata ajira nje ya Tanzania
*Jinsi ya kujibu Maswali Ya Msingi Kama vile:
--Tell Us About Your Salary Expectation
--Why Did you leave your previous Job
--Tell us about your weaknesses and strengths
Usikose, wasiliana nami +57 301 297 1724 au Tutunata +255 757 120 020
0 comments:
Post a Comment