JIFUNZE ENGLISH KWA HARAKA: SOMA HII CHANGAMOTO

TAFAKARI..CHUKUA HATUA.
Naonge na wewe unayetamani sana kujua vizuri ENGLISH
Jiulize mambo mangapi ambayo ulitamani kuyafanya na bado yamebaki kiporo kwakuwa "hauna muda".
Pengine wakati huu wote umeacha kufanya , labda ni miezi, kwa wengine ni hata mwaka au miaka, kama ungeanza toka wakati huo ungekuwa mbali sana wakati huu.

Kumbuka mafanikio ni mchakato, na kadri ufanyavyo kitu mara kwa mara kwa muda mrefu zaidi hata kama haufanyi kwa kiwango kikubwa, basi unajijengea uwezo wa kuboresha hilo jambo, endapo unajifunza ktk kila hatua ya mapito yako. Ila kama haujaanza kitu basi hautojifunza kitu na hauto boresha.
Turudi kwa English, tafadhali usiendelee kujiambia bado huna muda au sijui hauna fedha. Hivi kweli TSHS. ELFU KUMI NA TANO imekushinda miezi yote hii ? Au ni kuwa tuu haujaamua kujipangia muda na kujitoa kwa kununua hicho kitabu ?
Tuwasiliane sasa , nikupatie kitabu chenye masomo ya mbinu na kanuni za English. Utajifunza Tenses, utajifunza Verbs, na kanuni nyingine kibao, maelekezo yote kwa Kwa Kiswahili, mifano ya English ila ina tafsiri kwa Kiswahili.
Nicheki kwa WhatsApp : +57 301 297 1724
Share:

0 comments:

Post a Comment