MABORESHO MAKUBWA YA MBUKE TIMES

Fans na wasomaji wote wa Mbuke Times , ninakusudia kufanya marekebisho makubwa ya aina ya makala na mwonekano wa blog yenu hii.

Hivyo vumilieni kidogo tutarejea kwenye utaratibu wetu wa kurusha hewani makala mara kwa mara.

Wenu,
John Gabriel.
Share:

1 comment:

  1. Woow wooow Yaani hii ndio blog ambayo nilikua naitafta kwa mda mrefu saaaana

    Ni nzuri kwa kweli kusoma blog inayohusu mambo mbali mbali ukiachana na habari so hii imetulia sanaa. Nimependa makala ya ideas-7-za-jinsi-ya-kuanzisha-blogu yaani ni nzuri sana inabidi nizifanyie kazi. Ni kweli hapa tanzania watu wanapenda sana news blogs ila nyingine wanaona ni ngumu kuandika makala nahisi.

    Ila Kaka John kuna kitu ningependa tuzungumze kwa hiyo please kama ukipenda kunisikiliza naomba unitumie email kwenye email ya godlistentoday@gmail.com Nitafurahi sana.

    Blog nzuiri sana Hongera

    ReplyDelete