MWANA MAHESABU WA KWANZA MWANAMKE ALIKUWA MWAFRIKA: MFAHAMU HAPA

Pichani anaitwa Hypatia Theon, mwana mahesabu wa kwanza mwanamke. Alikuwa pia mtaalamu wa elimu ya anga.
Hypatia ni mzaliwa wa Afrika huko Misri.
Anafahamika zaidi kama Hypatia wa Alexandria.
Anatajwa kuhusika na uvumbuzi wa kifaa kiitwacho HYDROMETER.
Chanzo:http://www-history.mcs.st-and.ac.uk/
Share:

0 comments:

Post a Comment