NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA KUWA NA WASOMI WENGI ZAIDI DUNIANI NA AFRIKA

Tunapozungumzia wasomi tunazungumzia idadi ya watu waliomaliza elimu za vyuo vikuu yaani walau mtuu ana digrii moja.
Kwa mujibu wa taarifa ya mwaka 2013 ya shirika la OECD ambayo 27/7 Wallstreet walinukuu zifuatazo ndio nchi zinazoongoza:

1. Russian Federation
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 53.5%

2. Canada

Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 51.3%

3. Japan
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%
4. Israel
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 46.4%


5. United States

Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 42.5%

6. Korea
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 40.4%


7. United Kingdom
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.4%


8. New Zealand
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%


9. Finland
Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 39.3%


10. Australia

Wenye kiwango cha elimu ya chuo: 38.3%

Kumi bora kwa Afrika  kwa mujibu wa UNDP na kunukuliwa na Answers.com ni :

1. Zimbabwe
2. Tunisia
3. Nigeria
4. Misri
5. Afrika Kusini
6. Ghana
7.  Kenya
8. Uganda
9. Zambia
10. Morocco




Share:

3 comments:

  1. Tanzania wasomi n wachache sana mapka hatupo kwenye list

    ReplyDelete
  2. Duuhh😲, Tanzania adi ajira zmekosekana kwa maana kwamba wasomi ni wengi afu hatumo duuu😢

    ReplyDelete