KAMA HAUKUJUA BASI JUA
Kwa uchache hizi ndio rekodi za ufungaji wa magoli za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Maana wakicheza , kila mmoja wao uwezekano wa kufunga goli pengine ni 97%. Yaani kwa wastani ni kila mechi lazima wafunge goli.
Soma rekodi zao:-
1. Kwa mujibu wa rekodi za Messi zilizoandikwa na Wikipedia, Mwaka 2013 Messi aliwahi kufunga mfululizo kila mechi kwa idadi ya mechi 21.
2. Rekodi za Cristiano Ronaldo zinasema, yeye ndiye mchezaji pekee aliyewahi kufunga magoli 40 ndani ya miaka miwili mfululizo, na ndiye mchezaji pekee mpaka sasa aliyewahi kucheza ligi ya hispania na kufunga kila timu aliyecheza nayo katika mechi za la liga kwa msimu wa mwaka 2012.
SWALI KWAKO: Hivi watu kama Lionel Messi na Christian Ronaldo haswa haswa kinachowafanya wawe hivyo walivyo ni nini ?
A: Ufundi B: Juhudi C: Bahati D: Kipaji E: Vyote ?
Wasome hapa MESSI na Ronaldo wenyewe wakielezea kuhusu mafanikio yao Nataraji utajifunza kitu na kuboresha fikra zako:
LIONELL MESSI:
"I made a lot of sacrifices by leaving Argentina, leaving my family to start a new life. But everything I did, I did for football, to achieve my dream. That's why I didn't go out partying, or do a lot of other things".
"You cannot allow your desire to be a winner to be diminished by achieving success before and I believe there is room for improvement in every sportsman."
"The day you think there is no improvements to be made is a sad one for any player."
"In football as in watchmaking, talent and elegance mean nothing without rigour and precision."
CRISTIANO RONALDO: "I have never tried to hide the fact that it is my intention to become the best". " Your love makes me strong, your hate makes me unstoppable" "To me, being the best means proving it in different countries and championships." "I have my flaws too, but I am a professional who doesn't like to miss or lose." Vyanzo vya habari za rekodi zao na quotes hapo juu ni : Wikipedia, Brainyquote.com, Ronaldo7.net, na Searchquotes.com |
0 comments:
Post a Comment