Yafuatayo
kuhusu biashara ya meno ya tembo
Kwanza:
Matumizi yake; meno ya tembo hutumika kutengeneza vitu vya urembo kama vile
hereni , mikufu, mapambo kama vile sanamu na hata keys za keyboards za vinanda.
Vifaa vilivyotengenezwa kwa meno ya tembo hutumika nchini China kama sehemu ya
kuonyesha ufahari, kwa mujibu wa Wikipedia.
Pili: Bei
ya meno ya tembo
Bei
inategemea na soko , hata hivyo kwa mujibu wa answers.com , jino moja la tembo
huweza kuuzwa kwa dola za kimarekani mi asaba (700).
Elewa jino
moja la tembo linaweza kuwa na kilo zisizopungua arobaini (40) kwa tembo wa bara la Asia wakati Africa hufikia hadi kilo 90 kwa mujibu wa ANSWERS.COM. Tembo wa kiume na waliokua tayari ndio haswa husakwa.
Tatu: Wapi
wananunua meno ya tembo ?
Kwa mujibu
wa dailymaily.co.uk , vinara wa ununuzi wa meno ya tembo. China ndio namba moja duniani ikifuatiwa na namba
mbili Marekani. Zipo nchi nyingine duniani ambapo meno ya tembo hutumika
kutengeneza vifaa hivyo
Nne: Wanyama
wengine wanaotafutwa: Meno ya kiboko pia
hutumika kutengeneza vifaa kama hivyo vilivyotajwa ambavyo vinatengenezwa kwa
meno ya tembo.
Je mteja unaweza kumpata wapi au anae uza unaweza kumpata wapi
ReplyDelete