Je, Unasumbuliwa na MESSAGE usizozitaka kuziona, hususani toka kwa watu
usiowajua ?
Nenda sehemu ya Settings, kisha chagua kuwa Unataka kupokea message za Walio FRIENDS zako tuu.
Message nyingine zote zitaingia kama SPAM, hivyo hazitokuja INBOX yako. Zitapelekwa kwa Folder maalum la SPAM, ni mpaka ulitafute hilo folder la Spam ndio utaziona message nyingine kama hizo za kukusumbua.
Kama unataka kuangalia Messages ambazo zimeingizwa kwenye folder la SPAM, unachotakiwa kufanya ni kuenda sehemu ya MESSAGE (Kushoto mwa profile yako), kisha bofya hapo juu kama unavyoona kwenye picha hapa chini.
Unaweza kufanya hivi, kwani pengine kuna mtu muhimu ambaye si Friend wako amekutumia message ambayo ungependa kuisoma.
Kwa hisani ya MBUKE TIMES Teknolojia

0 comments:
Post a Comment