SHINDANIA $50,000 KWA KUHUDUMIA WATOTO

Kuna program maalum ya kutoa zawadi kwa asasi au vikundi vya kijamii vyenye kujishughulisha na huduma kwa watoto. Tangazo limetolewa ambapo unaweza kujiandikisha na kushiriki shindano ambalo mshindi wake anapata kitita cha dola za kimarekani Elfu Hamsini  ($50,000).
Kuna maeneo makuu matatu ya kushindania ambayo ni Afya, Huduma za kijamii, na Vijana. Mashindano hayo ni kwa watu wote au asasi bila kujali nchi mtu atokayo. Ili kushiriki, unatakiwa kuajindikisha kwa kubofya link ifuatayo World Children Award (WAC) Program. 
Ukishajiandikishia akaunti huko, utaweza kujaza fomu ya ushindani.

Kumbuka mwisho wa kuwasilisha fomu za ushindani ni April 1, 2013.

Unashauri usome vyema vigezo na masharti na maelekezo mengine ya ushiriki kabla ya kuja fomu, na hakikisha umehakiki fomu yako vema kabla ya kuiwasilisha kwa WAC Program.
Mwaka jana 2012, walipataka washindi 35 kwa watoto wa bara letu la Afrika ambapo 10 walishinda zawadi za Afya, 22 zawadi za huduma za kijamii na 3 zawadi za mambo ya watoto/vijana.

Baadhi ya Masharti na Vigezo vya ushiriki ni kama vifuatavyo:
The nominee is required to have significant contributions to children’s lives, and strong background and work relationship with registered non-profit and child-related organizations which can receive grant funds in order to be awarded. The Awards are divided into three distinct categories with eligibilities:
  • Health Award: For health, medicine and science services, minimum grant of $50,000.
Eligibilities: Working over their normal employment or for little or no pay for at least 10 years.
  • Humanitarian Award: For education, social and humanitarian services, minimum grant of $50,000.
Eligibilities: Same as above, and significantly contributing to the health improvement of children
  • Youth Award: For young persons under aged 21, minimum grant of $25,000.
Eligibilities: Working on their child contributions for at least 3 years.

N:B: Pichani hapo juu ni mmoja wa washindi wa mwaka 2012, Kyle Weiss aliyefanya mradi wa kusaidia watoto kupata viwanja vya michezo. Picha toka  http://worldofchildren.org
Share:

0 comments:

Post a Comment