Ramani hii toka MAPOFWORLD.COM |
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa na
kwa kuwa na watu wengi Zaidi duniani. La kwanza ni Asia.
Ndani ya bara la Africa, nchi
zinaongoza kwa ukubwa na udogo ni kama ifuatavyo:
NIGERIA: Hii ni kubwa kuliko zote kwa idadi ya watu wakati
ALGERIA ni nchi kubwa zaidi kuliko
zote Afrika kwa ukubwa wa ardhi.
GAMBIA : Ndio nchi ndogo zaidi kuliko
zote kwa nchi zisizo na visiwa wakati.
Visiwa vya Shelisheli : Ndio nchi
ndogo zaidi kwa nchi zilizo visiwa.
Afrika Kusini : Nchi Tajiri zaidi
Afrika kwa viwango vya pato la taifa.
Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo
(DRC): Nchi masikini zaidi Afrika kwa viwango vya pato la taifa.
Bofya HAPA kuona orodha ya nchi tajiri zaidi duniani.
Bofya HAPA kuona orodha ya nchi masikini zaidi duniani.
Bofya HAPA kuona orodha ya nchi masikini zaidi Afrika.
Vyanzo:
Wikipedia, Nairaland.com, therichest.com, financenews24.com, na ask.com.
0 comments:
Post a Comment