KAMA HAUKUJUA BASI JUA: TAKWIMU MUHIMU AFRIKA

Ramani hii toka MAPOFWORLD.COM
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa na kwa kuwa na watu wengi Zaidi duniani. La kwanza ni Asia.
Ndani ya bara la Africa, nchi zinaongoza kwa ukubwa na udogo ni kama ifuatavyo:

NIGERIA: Hii ni kubwa kuliko zote  kwa idadi ya watu  wakati

ALGERIA ni nchi kubwa zaidi kuliko zote Afrika kwa ukubwa wa ardhi.

GAMBIA : Ndio nchi ndogo zaidi kuliko zote kwa  nchi zisizo na visiwa wakati.

Visiwa vya Shelisheli : Ndio nchi ndogo zaidi kwa nchi zilizo visiwa.

Afrika Kusini : Nchi Tajiri zaidi Afrika kwa viwango vya pato la taifa.


Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo (DRC): Nchi masikini zaidi Afrika kwa viwango vya pato la taifa.

Bofya HAPA kuona orodha ya nchi tajiri zaidi duniani.

Bofya HAPA kuona orodha ya nchi masikini zaidi duniani.

Bofya HAPA kuona orodha ya nchi masikini zaidi Afrika.

Vyanzo:
Wikipedia, Nairaland.com, therichest.com, financenews24.com, na ask.com.
Share:

0 comments:

Post a Comment