Kuna kitu tunaita PATTERN, yaani jinsi ambavyo maneno, mionekano mbali mbali hutokea. Njia rahisi ya kujifunza maneno mapya, kanuni na hata kutamka maneno ya English ni kujua patterns mbalimbali.
Mfano:...
Dexter Morgan katika tamthilia iitwayo DEXTER anaonyesha tabiazinazotambulisha Sociopaths. Itazame hiyo tamthilia kwa kujiongezeaujuzi kuhusu watu hawa hatari waitwao sociopaths.
Hii ni kwa mujibu wa mtaalamu aitwaye Paul Rosenberg na references nyingine. Atakayetaka makala nzima aniambie email...
Logo ni sehemu ndogo tuu ya branding. Picha na 5wpr.com
Kama kuna jambo moja tuu utakalojifunza katika makala hii basi liwe ni utambuzi kuwa bila kujenga kuaminiwa na kupendwa na wale unaokusudia kuwauzia huduma yako, basi lengo lako la kufanya kwa mafanikio hicho unachofanya halitofikiwa. Na...
Leo niwazungumzie matumizi ya maneno haya ambayo hutumika sana katika mazungumzo ya kiingereza:
Gonna
Gonna hutumika kufupisha maneno GOING TO.. mfano : I gonna catch you.. Nitakukamata (I am going to catch you).
Kumbuka kutumia auxiliary verb husika kuendana na noun au pronoun utakayoitumia....
1. Kubali tokea mwanzo kuwa English ni tofauti na Kiswahili hivyo wakati unajifunza English sio tuu ujifunze tuu MISAMIATI ila ujifunze pia jinsi sentensi zinavyoundwa ktk English ili zilete maana. Hii ina maanisha ujizoeshe kusoma na kusikiliza mazungumzo ya English.Mfano :-I saw children to the...
Wengi katika kujifunza English hukwama kwenye matumizi sahihi ya tenses. Utakuta mtu anaelezea habari ya wakati uliopo ila ameieleza kama vile ni habari ya wakati uliopita.
Hivyo basi ili uweze kuwa mzuri kabisa katika tenses inakupasa kwanza kabisa uachane na namna utumiavyo nyakati (tenses)...