HudumaZetu


 Kwa huduma za kutengeneza websites, web apps, blogs, ushauri wa maswala ya biashara na lugha ya kiingereza, John anapatikana kwa mawasiliano hapo chini wakati wote.

John Gabriel Myungire
Ni mjasiriamali aliyejikita katika maswala ya ushauri wa mambo ya uongozi wa asasi za kiraia (NGOs) , biashara na mambo ya kiufundi kuhusiana na teknolojia. Amejikita katika utengenezaji wa michanganuo ya biashara, ubunifu wa websites, utengenezaji wa applications, na usimamizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara na asasi.
John ni msomi mwenye digrii mbili, ya kwanza ni ya uongozi wa biashara toka chuo kikuu cha Dar es salaam, na pili ni ya software development toka chuo kikuu cha Remington cha Medellin, Colombia.

Anapatikana kwa anuani hii: john.myungire@gmail.com
Kwa WhatsApp: +255 623 029 683

Waweza tembelea website yake ya www.utaliibusiness.com na Instagram account ya Utalii Business ujifunze mengi zaidi toka kwake.

2 comments: